billboard kupitia akaunti zao za instagram mwezi december mwaka huu waliwataja majina ya wasanii wao bola wa mwaka 2017 kwa kigezo cha nyimbo zao kukaa kipindi kirefu katika kumi bola za billboard Hot 100 orodha hiyo ni kaifwatavyo Ed sheeran Ndio kaibuka kidedea kwa ngoma ya "shape of you" kukaa wiki 33 na kuwa msanii bola wa kiume wa mwaka pia ngoma ya "Perfect," imefanya vizur mwaka huu hivyo ikaendelea kumpaisha Wengine ni 2-Brunomars ,3-drake,4- kendrick (humble) 5-The weekend, 6-chainsmokers,7- justinbiber,8- future ,9-shawnmendes , 10-Bts Na aliyeibuka kuwa msanii bora wa mwaka kwa wanawake ni Ariana Grande na kibao chake cha "side to side" akishilikiana na Mkali Nick minaj ndo imethibitisha uwezo wa wanamama huyu kwa kukaaa wiki 14 kwenye kumi bola za billboard Hao ndo wa kali wa mwaka wa 2017 kwa burudani zaidi sikiliza ngoma zao na endelea kufollow afrochart #afrochart tunasogeza utamu karibu hapo ulipo Tucheki Insta... Iamhump...