HABARI: Bingwa wa Kupanda Majengo Marefu Afariki Dunia.
Mpanda mijengo mirefu ambaye ni maarufu sana nchini China amefariki akiwa anaonyesha moja ya ujuzi wake hatari.
Wu Yongning alikuwa amejizolea maelfu ya mashabiki kwenye mtandao ya kijamii wa Weibo, kutokana na video zake fupi za kutisha akiwa juu ya majengo marefu bila ya kuchukua tahadhari zozote za kiusalama.
Wasi wasi uliwaingia mashabiki wake wakati ambapo aliacha kuchapisha video zake mwezi Novemba mwaka huu.
Maoni
Chapisha Maoni