MICHEZO: Brazil, Ujerumani Zakalia Pabaya Kombe La Dunia, Ufaransa Yang'aa
Timu YaTaifa Ya Brazil Mapema Jana ililazimishwa Sare ya 1-1 dhidi ya Uswisi baada ya Kusawazisha Bao lake kupitia kwa Phillipe Coutinho, Vile vile Timunya Taifa Ya Ujerumani nayo imeanza vibaya michuano hiyo, ikumbukwe Hawa ndio mabingwa watetezi.
Maoni
Chapisha Maoni