BURUDANI: Msanii GIB CARTER 'Wizkid' wa Bongo azidi kutoboa.

Msanii wa Bongo fleva anayechipukia kwa kasi Gib Carter 'wizkid' wa bongo
azidi kutoboa anga Baada ya video yake Ya SAWALA kuendelea kufamya vizuri
Katika vituo mbalimbali vya redio na Tv nchini, huku mwenyewe akizidi
kuushukuru zaidi uongozi wa lebo yake mpya ya Top Class kwa kumsimamia na kumpa mwongozo mzuri.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAHAMU: Nchi zenye wanaume wenye maumbile makubwa duniani Congo yawa tishio

FAHAMU: Nchi za Afrika zenye warembo matata zaidi Je Tanzania ipo?