BURUDANI: Msanii Nyota ' Vee Money ' Apata Shavu la Maana Kutoka Universal Music, Ameahidi kufanya makubwa.
msanii nyota Vanessa Mdee ' Vee Money' Apata shavu la Maana kutoka Universal Music kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanadada Vanessa amethibitisha hayo, Na hili ni moja kati ya Madili nono kuwahi kutokea kwa wasanii kutoka Afrika. Hongera Vanessa kwa kuendelea kuipeperusha Bendera ya Tanzania ipasavyo.
Endelea kukaa nasi kwa Habari Zaidi.
Endelea kukaa nasi kwa Habari Zaidi.
Maoni
Chapisha Maoni