BURUDANI: TEKNO Apata Shavu kwa DRAKE Azidi kutamba, Drake Amkubali Zaidi kuliko Wizkid.
Msanii Kutoka Nigeria Ambaye mapema mwaka jana alisaini mkataba na kampuni ya Mziki ya Sony,Apata shavu la kutosha kutoka kwa rapa Drake baada ya picha kusambaa akiwa studio na Drake nchini Marekani, Licha ya hivyo Drake anaonekana kumkubali staa huyo aliyetamba na Wimo wake Wa DURO, Tutegemee ngoma kali kutoka kwa Tekno akimshirikisha rapa Drake Je kolabo yake itakua kali zaidi ya ile ya Wizkid COME CLOSER.?
Maoni
Chapisha Maoni