BURUDANI: Wema Sepetu Baada ya Kuikacha CHADEMA aja na hili kubwa.
Mrembo wema sepetu anaetingisha Bongo nzima na viunga vyake maarufu kama East African Sweetheart, Baada ya kuikacha CHADEMA sasa aj n hili jipya, Ameingia ubia na kampuni ya usafiri Jijini la Daresalaam ya Taxify.
Maoni
Chapisha Maoni