MICHEZO: Uncle Tom ' Thomas Rosicky' Atangaza Rasmi kutundika Daluga

Aliyekua  kiungo wa Arsenal Thomas Rosicky Ametangaza Rasmi kutundika Daluga aliwa na miaka 37 mapema leo, Alijiunga na Arsenal akitokea Borussia Dortmund mwaka 2007, Hivyo ameichezea Arsenal kwa miaka 10 ya mafanikio.



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAHAMU: Nchi zenye wanaume wenye maumbile makubwa duniani Congo yawa tishio

FAHAMU: Nchi za Afrika zenye warembo matata zaidi Je Tanzania ipo?