HABARI ZETU: Mwanamke auwawa kikatili na kuzikwa kwenye shamba la viazi kisa wivu wa mapenzi.
Kisa hiki cha kusikitisha kimetokea jana tarehe 14, huko wilayani Ngara mkoani Kagera, Ambapo mwanamke mmoja anaedaiwa kuwa ni mmoja kati ya wake wawili walioolewa na mwanaume mmoja, amechukua maamuzi ya kinyama na kuumua mke mweza kikatili na kisha kumzika mwenyewe kwenye shamba la viazi.
Endelea kukaa nasi.
#Instagram - Afrochrtz
- Iamhumphrey8
Endelea kukaa nasi.
#Instagram - Afrochrtz
- Iamhumphrey8
Maoni
Chapisha Maoni