SOKA: Mabingwa watetezi wamekaa mbele ya wagonga nyundo wa London
Bao moja la arnatovic katika dakika ya Sita 6' ya mchezo limetosha kuwalaza mabingwa watetezi chelsea mbele ya wagonga nyundo wa London katika London dery Na mchezo kumalizika Westham1-0 Chelsea.
Tufuate katika Instagram Iamhumphrey8 Twitter Officialhumph
Maoni
Chapisha Maoni