BURUDANI: Album mpya ya Diamond Platnumz ina nyimbo 18
Msanii Diamond Plutnumz anatarajia kutoa album yake mpya aliyoipa jina la A BOY FROM TANDALE ambayo ndani yake ina nyimbo 18 na ni wasanii watatu wa Tanzania waliobahatika kushirikishwa humo Young killer kweny Pamela
Rayvany kwenye Iyena na
Vanessa Mdee kwenye Far Away.
Rayvany kwenye Iyena na
Vanessa Mdee kwenye Far Away.
Share na tufuate katika
Instagram
@iamhumphrey8
Twitter @ officialhumph
Maoni
Chapisha Maoni