FAHAMU;Kutana Na Fundi Gereji Aliyetelekezwa Wazazi Wake Na kuwa Billionea Aliyeanzisha Kampuni Ya Apple.
(24 Februari 1955 – 5 Oktoba 2011 )
FAMILIA
Steve Jobs alizaliwa mwaka 1955 na wazazi wake kumtelekeza ndipo walipojitokeza Paul jobs na mkewe kisha kumchukua nakumpa jina la steve Jobs na toka utoto wake alikuwa akifanya kazi na baba yake katika gereji ya familia akimfundisha mambo ya kielektronia
ELIMU
Steve Jobs alikuwa ni kijana mwenye akili na mbunifu alipokuwa katika elimu ya mwanzo walimu walikuwa wakitaka kumrusha madarasa lakini wazazi wake walikataa
Alifanikiwa kufika elimu ya ngazi ya juu chuo cha Reed collage lakini akufanikiwa kumaliza na kufukuzwa baada ya miezi sita ndipo akaludi katika gereji ya baba ake lakini akiendele kushilikiana na rafiki yake Steve wozniak waliokutana chuoni na kufanikiwa kutengeza komptyu ya apple I .Fedha zilizotumika zilipatikana baada ya steve jobs kuuza basi yake aina ya volkswagen na Wozniak kuuza kikotozi chake( scientific calculator )
MAISHA YAKE
Alikuwa mvumbuzi wa Marekani na mfanyabiashara aliyetambuliwa sana kama mwanzilishi mwenye kipaji cha haiba ya zama za kompyuta ya kibinafsi. Alikuwa mwanzilishi, mwenyekiti, na afisa mtendaji mkuu wa Apple Inc . Awali alikuwa mtendaji mkuu wa kampuni ya filamu ya Pixar ; Mnamo mwaka wa 2006, Jobs mwanachama wa bodi ya wakurugenzi wa
Kampuni ya Walt Disney katika 2006, kutokana na ununuzi wa Pixar na Disney. Katika miaka ya 1970, Jobs <--! Emdash -->-pamoja na Apple mwanzilishi Steve Wozniak , Mike Markkula na wengine-Waliungana kubuni, kuunda ,na kuuza Kompyuta ya kibinafsi iliyokuwa na mafanikio,
Apple II mfululizo . Katika miaka ya 1980, Jobs alikuwa kati ya kwanza kuona uwezekano wa biashara ya 'mouse' , ambayo ilisababisha kuundwa kwa Lisa na Apple,na Macintosh mwaka mmoja baadaye. Baada ya kupoteza kugombea madaraka na bodi ya wakurugenzi katika 1985, Jobs alitoka Kampuni ya Apple na kuanzisha Kapuni ya NEXT,Kampuni ya kompyuta inayohusika kimaalumu katika masoko ya elimu ya juu na biashara.
Katika miaka ya 1980, Jobs alikuwa kati ya watu wa kwanza kuona uwezekano wa biashara uliotokana na interface ya Xerox Parc inayoendeshwa na kipanya cha graphical mtumiaji, ambayo ilisababisha kuundwa kwa Lisa Apple (iliyohandisiwa na Ken Rothmuller na John Couch) na, mwaka mmoja baadaye, mfanyakazi Apple Macintosh Jef Raskin akajiunga nao. Baada ya kupoteza ugombezi wa madaraka na bodi ya wakurugenzi katika 1985, Jobs alijiondoa kutoka Apple na akaanzisha NeXT, jukwaa la maendeleo ya kompyuta ya kampuni maalumu katika masoko ya elimu ya juu na biashara.
Jobs alikufa 5 Oktoba 2011. Kifo chake kimesababishwa na saratani ya kongosho.
Na ilisemekana kwamba mnamo mwaka 2016 Steven Jobs asinge uza hisa zake asilimia 26 angekuwa billionea mwenye thamani kubwa kikubwa zaidi dunia $127 billion.
Maoni
Chapisha Maoni