HABARI ZETU: Jokate Awapa somo vijana wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii.

Vijana wameshauriwa kuacha kutumia vibaya mitandao ya kijamii badala yake itumike kuweza kuwasaidia kujikwamua katika maendeleo.
Jokate ambaye ni mjasiliamali pamoja na mhamasishaji haswa kwa vijana, kwa sasa yupo katika kampeni ya kuwakumbusha vijana wajibu wao ili waweze kujitambua kupitia kampuni ya Sahara Group inayo saidia kuwapa Elimu vijana juu ya mustakabali wamaisha yao.
”Vijana wasitumie mitandao ya kijamii kujua kuwa Jokate amevaaje leo, au kaweka nywele gani, inatakiwa watafute taarifa mbalimbali ambazo kila wakati hutolewa katika ‘Internet’ ili ziweze kuwapa ufahamu na pengine kuwasaidia” amesema Jokate.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAHAMU: Nchi zenye wanaume wenye maumbile makubwa duniani Congo yawa tishio

FAHAMU: Nchi za Afrika zenye warembo matata zaidi Je Tanzania ipo?