BURUDANI: Mtandao wa Instagram Waja na Video ya Saa Moja, Youtube Itapata Tabu sana Kibiashara
![Picha](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwk-ULrzOXmRJwnx5ER1C7UeKhsrmDJ3rXqZ5nYJwW3sHnn40eMwHsasNuqPk0gQPr4BbwvsmKgEQH2fXWZcGdocFgrmzXVIT-UIFCyMWXvI6tHdkFj04jWdeYaNjrmuZRrmQDP0M-Qb0/s640/20180621_102312.png)
Kwa kile kinachoonekana ni ushindani mkubwa wa kibishiara,mtandao wa Instagram umezindua huduma yao mpya inayoitwa IGTV,Ambayo itaruhusu watumiaji wa Mtandao huu kupost video yenye urefu wa dakika 60 ( saa moja ) kutoka kwenye Dakika Moja ya Awali yote haya yamesemwa na CEO wa instagram kevin systrom mapema leo huko St Fransisco, kitu kilichopokewa kwa hisia tofauti na wachambuzi wa masuala ya Biashara wakisema kama instagram inaweza kuwekwa video ya saa moja basi kibiashara mtandao wa Youtube Utapata Tabu Sana.