MICHEZO: Ronaldo Aumiza, Morocco Waaga Kombe La dunia Kwa Kipigo.
MOROCCO Yaweka historia ya kuwa team ya kwanza kuaga mashindano katika fainali za kombe la Dunia 2018
Ni baada ya kufungwa goli moja kwa sifuri dhidi ya Portugal (Ureno) Goli lililofungwa na Mshambuliaji Cristiano Ronaldo
Hadi kufikia sasa Morocco hawana tena cha kushindania japokuwa wamebakisha mchezo mmoja wa mwisho dhidi ya Hispania ambapo mchezo huo hautakuwa na faida kwao
Maoni
Chapisha Maoni