BURUDANI: Vee Money Aja Kivingine Safari Hii kiuswazi Zaidi, Barnaba Nae Ndani.

Msanii Star Wa Bongo Fleva Vanessa Mdee "Vee Money" Mapema leo mchana ameachia Ngoma mpya ambayo ndani yake yupo mkali kutoka THT "Barnaba" nyimbo flani yenye mahadhi ya kiswahili inayokwenda kwa jina la CHAUSIKU.

Usisahu kudondosha Comment yako hapo Chini.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAHAMU: Nchi zenye wanaume wenye maumbile makubwa duniani Congo yawa tishio

FAHAMU: Nchi za Afrika zenye warembo matata zaidi Je Tanzania ipo?