BURUDANI: Mtandao wa Instagram Waja na Video ya Saa Moja, Youtube Itapata Tabu sana Kibiashara

Kwa kile kinachoonekana ni ushindani mkubwa wa kibishiara,mtandao wa Instagram umezindua huduma yao mpya inayoitwa IGTV,Ambayo itaruhusu watumiaji wa Mtandao huu kupost video yenye urefu wa dakika 60 ( saa moja ) kutoka kwenye Dakika Moja ya Awali yote haya yamesemwa na CEO wa instagram kevin systrom  mapema leo huko St Fransisco, kitu kilichopokewa kwa hisia tofauti na wachambuzi wa masuala ya Biashara wakisema kama instagram inaweza kuwekwa video ya saa moja basi kibiashara mtandao wa Youtube Utapata Tabu Sana.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAHAMU: Nchi zenye wanaume wenye maumbile makubwa duniani Congo yawa tishio

FAHAMU: Nchi za Afrika zenye warembo matata zaidi Je Tanzania ipo?