MICHEZO: Viera Uso Kwa Uso Na Balotelli
Kiungo wa Zamani Wa Arsenal Na Timu Ya Taifa ya Ufaransa Mkongwe Patrick Viera, Ameteuliwa Rasmi kuwa Kocha Mkuu ya Klabu Ya Nice Ya Pale Nchini Ufaransa Mapema jana, Akitokea Nchini Marekani, Na Atakua pamoja na Mshambuliaji Mtukutu Mario Balotelli 'Super Mario'
Maoni
Chapisha Maoni