MICHEZO: Antonnie Griezman Awashangaza Barcelona
Mara Baada Ya Tetesi nyingi kusambaa kuhusiana na Uhamisho wa Antonnie Griezman kwenda Barcelona, Mapema Jana Ametangaza Rasmi kwamba Ataendelea Kusalia Katika timu Ya Atletico yenye Makazi yake Mjini Madrid
Maoni
Chapisha Maoni