1. Somalia Hatuwezi kuharibu urembo, Somalia ni nchi yenye wanawake wazuri sana Africa, Unamkumbuka Iman, yule model wa Kisomari na ule mwendo wake wa kupendeza katika Word best fashion competition, uzuri wao unatokana na ngozi zao(chocolate skin), na nywele zao ndefu na laini. 2. Rwanda Ndio kila sehemu duniani ina wanawake wazuri ila wanawake wa Rwanda wapo class za juu zaidi 3.Ethiopia Model wazuri kuanzia sura hadi maumbile yao wengi wapo Ethiopia 4. Misri Nchi hii ilishawai kuwa na world best female model 2004-2006 5.Djibouti 6. Eritrea Ni nchi iliyopo katika pembe ya Africa, mji wake mkuu ni Asmara. Wanawake wengi nchini humo wanavipaji mbalimbali ikiwemo wanamitindo 7. Tanzania Aliwai kuwa miss Tanzania 8.Morocco Rabat – Fati Jamali ana taji la mwanamke mzuri zaidi wa kiarabu mwaka 2014. 9. Ghana Mdada huyu anatokea Ghana, ni miongoni mwa waigizaji wazuri nchini Ghana na Nigerian movie industry. 10. ...
Timu YaTaifa Ya Brazil Mapema Jana ililazimishwa Sare ya 1-1 dhidi ya Uswisi baada ya Kusawazisha Bao lake kupitia kwa Phillipe Coutinho , Vile vile Timunya Taifa Ya Ujerumani nayo imeanza vibaya michuano hiyo, ikumbukwe Hawa ndio mabingwa watetezi. humphreygasper.blogspot.com
Maoni
Chapisha Maoni