MICHEZO: Saudi Arabia Waungana na Morocco Kuyaaga mashindano ya kombe laDunia.
Timu tatu hadi sasa zimeaga kombe la dunia morocco, Saudi Arabia, Misri akiwa mguu nje mguu ndani
FIFA WORD CUP 2018
Tayari mpaka sasa team tatu zishaaga rasmi mashindano ya Kombe la dunia ambapo Morocco walikuwa wa kwanza kuaga mashindano hayo mapema leo Jioni wakifuatiwa na Misri na Saudi arabia ambao wote kwa Pamoja wameaga mashindano hayo baada ya mchezo wa Uruguay dhidi ya Saudi Arabia kumalizika kwa Uruguay kushinda kwa bao moja kwa bila
*Team zilizofuzu 16 bora mpaka sasa ni*
Russia
Uruguay
*Team Zilizoaga mashindano mpaka sasa ni*
Morocco
Misri
Saudi Arabia
Maoni
Chapisha Maoni