MICHEZO: Hatma Ya Antony Martial Ndani Ya Manchester United Yaanza Kuonekana.
Mshambuliaji wa Manchester United Na timu ya Taifa Ya ufaransa Antony Martial Ameomba Kuondoka Klabuni Hapo, Habari Kutoka kwa Wakala wake, Hii ni Mara Baada Ya Martial Kutemwa Katika kikosi Hicho kwa ajili ya Michuano ya Kombe La Dunia, Inayoanza kutimua vumbi leo.
Maoni
Chapisha Maoni