Machapisho

MICHEZO; SAMATTA Aipeleka Aston Villa Wembley, Kocha Ampumzisha Kuwakabili Vigogo Wa Manchester.

Picha
Msambuliaji wa kimataifa na Kapteni wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘TAIFA STARS’ Mapema Jana  Usiku Aliiongoza Klabu yake mpya ya Aston Villa kushinda mchezo wake dhidi ya Vijana wa kingpower kuelekea Fainali Wembley huku wakisubiria mshindi wa nusu fainali ya pili itakayopigwa leo kati ya vigogo wa jiji la Manchester.

MICHEZO; SAMATTA asimamisha Dunia kwa Dk 2, Goli Matata Awaacha Milner na Allison midomo wazi,Watanzania Hoi.

Picha
Ma

MICHEZO;David Beckham apigwa marufuku kuendesha gari Uingereza.

Picha
Nahodha wa zamani wa Timu ya Taifa ya England, David Beckham amepigwa marufuku kuendesha gari kwa miezi 6 baada ya kupatikana na kosa la kutumia simu wakati akiendesha gari. Mbali na adhabu hiyo, Mahakama mjini London imempiga faini ya £750, na kuagizwa alipe £100 gharama ya kesi na malipo ya ziada ya £75 katika siku saba zijazo. Jaji katika mahakama hiyo amemuambia hata kama kasi ya gari ilikuwa taratibu kwenye foleni ‘hakuna kisingizio’ chini ya sheria. Mwendesha mashtaka amesema: “Badala ya kutazama mbele na kuangalia barabara alionekana akitazama simu mapajani mwake.” Nchini Uingereza kushika simu ukiwa unaendesha gari ni kosa unaweza kuadhibiwa kwa kupunguziwa pointi kwenye leseni na kutozwa faini ya £20 Wakili wa Beckham Gerrard Tyrrell amesema mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United ” haikumbuki siku hiyo au tukio hilo”. Mahakama imeeleza picha hiyo alipigwa na raia akiwa ameshikilia simu wakati akiendesha gari lake aina ya Bentley ‘taratibu’ katika foleni. ...

MICHEZO; HAZARD KUIVURUGA CHELSEA, ATANGAZA RASMI KUSEPA BAADA YA KUINYUKA FRANKFURT NA KUTINGA FAINALI.

Picha
Nyota wa klabu ya Chelsea, Eden Hazard anahitaji kutimkia Real Madrid haraka iwezekanavyo licha ya timu hiyo kutokuwa tayari kumuachia mchezaji huyo wa timu ya taifa ya Ubelgiji mwenye umri wa miaka 28 kwa dau lisilopungua chini ya pauni milioni 100. (ESPN)

BURUDANI: ZARI ATUA DAR KWA KISHINDO, DIAMOND HOI HALI MBAYA AJICHIMBIA MADALE.

Picha
Mwanadada maarufu kama Zari The Boss Lady " Zarina Hassan" mapema Jana Alitua Airport JKIA kwa kishindo na kupokelewa na mamia ya mashabiki Zake akija kufanya shughuli za kijamii kama balozi wa kampuni,na mara baada ya tukio hilo alienda mbagala kuongea na kina Mama.

MICHEZO: SAMUEL ETOO MWAMBA WA AFRIKA, BINGWA WA KUCHEKA NA NYAVU ALIETEKA ROHO ZA WAZUNGU

Picha
Samuel Etoo, Kinara nana Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika mara nne (4), Aliyewahi kuzichezea klabu kubwa barani ulaya kama Fc Barcelona,Intermilan, Chelsea, Everton, Ndie mchezaji pekee aliwahi kushinda Makombe matatu ( Treble ) kwenye timu mbili tofauti kwa misimu miwili mfululizo, akiwa na Barcelona mwaka 2009 na akiwa na intermilan mwaka 2010.

BURUDANI: Alda Msanii Mpya Chipukizi Anayekuja kwa Kasi Kwenye RNB, Jux Benpol Wakae Tayari.

Picha
Baada ya Kutamba na Ngoma yake Ya Shida sasa Msanii chipukizi alda mkali wa miondoko ya Rnb amekuja kivingine Zaidi safari hii ni Ngoma ya Mapenzi, Changamoto mpya kwenye Game ya Mziki wa Bongo. Sapoti Yako Ni muhimu kuhakikisha kijana wako anafika mbali zaidi Mfollow katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM -ALDABOE_ TWITTER-ALDABOE_ FACEBOOK-ALDABOE_