BURUDANI: Alda Msanii Mpya Chipukizi Anayekuja kwa Kasi Kwenye RNB, Jux Benpol Wakae Tayari.
Baada ya Kutamba na Ngoma yake Ya Shida sasa Msanii chipukizi alda mkali wa miondoko ya Rnb amekuja kivingine Zaidi safari hii ni Ngoma ya Mapenzi, Changamoto mpya kwenye Game ya Mziki wa Bongo.
Sapoti Yako Ni muhimu kuhakikisha kijana wako anafika mbali zaidi
Mfollow katika mitandao ya kijamii
INSTAGRAM -ALDABOE_
TWITTER-ALDABOE_
FACEBOOK-ALDABOE_
Maoni
Chapisha Maoni