MICHEZO: SAMUEL ETOO MWAMBA WA AFRIKA, BINGWA WA KUCHEKA NA NYAVU ALIETEKA ROHO ZA WAZUNGU
Samuel Etoo, Kinara nana Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika mara nne (4), Aliyewahi kuzichezea klabu kubwa barani ulaya kama Fc Barcelona,Intermilan, Chelsea, Everton, Ndie mchezaji pekee aliwahi kushinda Makombe matatu ( Treble ) kwenye timu mbili tofauti kwa misimu miwili mfululizo, akiwa na Barcelona mwaka 2009 na akiwa na intermilan mwaka 2010.
Maoni
Chapisha Maoni