MICHEZO: Manuel Pellegrin Achukua mikoba ya David Moyes westham.

Aliyewahi kuwa kocha wa mabingwa wa ligi kuu ya uingereza Manchester city kocha manuel pellegrin ametangazwa rasmi mapema leo kuchukua mikoba ya kocha David moyes aliyeifundisha klabu hio ya london kwa msimu mmoja.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAHAMU: Nchi zenye wanaume wenye maumbile makubwa duniani Congo yawa tishio

FAHAMU: Nchi za Afrika zenye warembo matata zaidi Je Tanzania ipo?