Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari, 2020

MICHEZO; SAMATTA Aipeleka Aston Villa Wembley, Kocha Ampumzisha Kuwakabili Vigogo Wa Manchester.

Picha
Msambuliaji wa kimataifa na Kapteni wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘TAIFA STARS’ Mapema Jana  Usiku Aliiongoza Klabu yake mpya ya Aston Villa kushinda mchezo wake dhidi ya Vijana wa kingpower kuelekea Fainali Wembley huku wakisubiria mshindi wa nusu fainali ya pili itakayopigwa leo kati ya vigogo wa jiji la Manchester.