MICHEZO: Radja Nainngolan Atangaza Rasmi kutundika Daluga Baada ya Kutemwa.
![Picha](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi8wo6HpaQUm4c2hRtD25aPj3Jl_0-t05mLucBv-YyHbKoaQzSld7i-yECFvpkZtTyEUZMQ5NWtEHoDZpVb-8N9r5UeUgAdi_18juYsU2fhEMrX7iOY7R2bE0IX1H11BpFr-Tw59x63w1E/s320/IMG_20180522_123920_092.jpg)
Kiungo Nguli wa As Roma Radja Nainngolan ametangaza rasmi kutundika Daluga Mara Baada ya kutemwa Katika kikosi cha Ubelgiji Kuelekea Kule Urusi kwenye Kombe la Dunia Nini Maoni yako.